Mke mbaroni kwa kumuua mumewe kisa pombe

Polisi Mkoani Rukwa wanamshikilia Mwanamke mmoja (52) Mkazi wa Kijiji cha Kaengesa, Sumbawanga kwa madai ya kumuua Mumewe Satiruni Sapo(58) kwa kipigo akimtuhumu kunywea pombe fedha walizokuwa wametunza ili zitumike kupalilia shamba.

“Alitumia kipande cha mti kumpiga akaumia na kukimbizwa Hospitali lakini akafariki wakati anapatiwa matibabu, Mtuhumiwa amekiri kosa wakati tunamuhoji na atafikishwa Mahakamani”- Justine Masejo, RPC Rukwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *