Madaktari walioajiriwa Mwezi 5 ambao hawajaripoti hatarini kukosa kazi.

Waziri Ummy ametoa maelekezo kwa Waganga Wakuu wa Mikoa yote TZ kupeleka orodha ya Madaktari walioajiriwa mwezi May 2020 ambao hawajaripoti katika vituo vyao ili kutoa nafasi kwa Madaktari wenye shida ya ajira, hii ni kutokana na siku 14 za kuripoti kumalizika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *