Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Afrika Kusini(ANC), Ace Magashule ambaye ni mtu maarufu ndani ya chama hicho anakabiliwa na waranti wa kukamatwa kwa madai ya rushwa.
Madai hayo ni katika kesi ya kandarasi ya umma ya tangu alipokuwa Gavana wa jimbo la Free State nchini humo.
Hii ni moja ya kashfa nyingi zinazozidi kusababisha chama cha ANC