Hospitali ya Bugando kuanzisha utaratibu wa uvaaji wa barakoa pindi uingiapo hospitali
April 24, 2020
HABARI MPYA
316 Views
Kuanzia leo Aprili 24, 2020, mtu yeyote yule, wakiwemo wagonjwa ama ndugu za wagonjwa atakayeingia katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza, atatakiwa kuvaa barakoa na kuirejesha getini kabla ya kutoka, ikiwa ni hatua ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.