Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emmanuel Mbamange akimkabidhi Hatibu Madata Mgeja fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo Msalala kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 15,2020.