Dkt. Mollel aagiza kuondolewa kwa safu ya hospital ya Uongozi Mount Meru

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safu ya Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha (Mount Meru) inayoongozwa na Mganga Mfawidji wa Hospitali hiyo Dkt. Shafii Msechu ikiwa ni sehemu ya maboresho katika Sekta ya Afya.

“Tumeona Hospitali ya Mount Meru inahitaji mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi, kwa kushirikiana na mamlaka husika, yafanyike haraka sana kwasababy kuna mambo ya msing yanayogusa jamii ambayo yanapaswa kufanywa kwa ustadi wa hali ya juu”-Mollel

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *