Dkt Bashiru Ally Leo Jumatatu atazungumza na Wazee wa Zanzibar

Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa LEO Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *