CCM Yashinda Ubunge Mtwara Mjini

Hassan Seleman wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda ubunge Mtwara Mjini kwa kupata kura 22,411 akifuatiwa na mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Nachuma aliyepata kura 13,586. Hassani Abdallah wa Chama cha ACT-Wazalendo amepata kura 1,113.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *