VIDEOS

Tigo yaungana rasmi na Zantel

Dar es Salaam. Novemba 4, 2019. Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na kampuni ya Zanzibar Telecom Public Limited Company (Zantel) baada ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria na kiumiliki ambapo lengo kuu ni kukuza na kuboresha huduma za mawasiliano nchini. …

Read More »

Aliyemuua mwanamuziki Radio, Kwenda jela miaka 14

Mahakama Kuu nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka 14 jela Bwana Godfrey Wamala maarufu Troy kwa kosa la kumuua mwanamuziki Moses Ssekibogo maarufu Mowzey Radio. Troy alipatikana na hatia hiyo siku ya Jumatatu ambapo mashtaka yake yalisomwa. Radio alifariki Februari 1, 2018 baada ya kupigana na Troy wakiwa baa mwaka …

Read More »