Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardius Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali . Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema uteuzi wa Prof. Kilangi unaanza tarehe 05,Novemba,2020. Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada yakipindi cha kwanza kumalizika jana tarehe …
Read More »Uncategorized
Freeman Mbowe Aangushwa Ubunge Jimbo la Hai….Aliyeshinda ni Saashisha Mafuwe
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Hai , amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 89,786, akifuatiwa na Freeman Mbowe aliyepata kura 27,684.
Read More »Majaliwa: Urais Ni Maisha Yako Wewe, Si Jambo La Mchezo
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Masasi watambue kwamba nafasi ya urais inagusa maisha yao na wala si jambo la mchezo. “Wazee wangu, mama zangu na vijana wenzangu, urais siyo jambo la mchezo, urais ni maisha yako …
Read More »Man United waiadhibu tena PSG nyumbani
Man United leo wamevuna point tatu kutokea jiji la Paris Ufaransa baada ya kuwafunga wenyeji wa PSG katika ardhi ya kwao katika uwanja wa Parc de prince. Kwenye mchezo huo licha ya Anthony Martial kujifunga na kuwafanya PSG wawe wamesawazisha dakika ya 55, Man United wameibuka kidedea kwa ushindi …
Read More »Katwila amwaga wino IHEFU
IMEELEZWA kuwa, Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebwagwa manyanga kutokana na timu hiyo kuwa na matokeo ya kusuasua kwa msimu wa 2020/21. Katwila ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa timu hiyo na alikuwa nahodha kwa sasa hayupo na timu kambini Morogoro ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi …
Read More »MANYARA: Takukuru yamshikilia mmiliki wa mashamba kwa kutowalipa watumishi mishahara.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, inamshikilia mmiliki wa mashamba makubwa Thomas Meliyo kwa kutotimiza wajibu wa kuwalipa stahiki watumishi wa mashamba yake. Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu ameyasema hayo mjini Babati wakati akizungumza na waandishi wa habari. Makungu amesema Meliyo …
Read More »MICHEZO:Timu ya burundi yawasili
Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya FIFA. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 11, Uwanja wa Mkapa na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote mbili kuwa na wachezaji wazuri. Pia ndani ya timu …
Read More »Serikali yatoa angalizo kuelekea dabi ya Kariakoo
Serikali imesema imejiandaa kukabiliana na mianya yote ya upigaji iliyokuwa ikiwanufaisha wachache na kusababisha Serikali kukosa mapato stahiki katika tozo rasmi ya malipo halali ya viingilio viwanjani. Katibu mkuu wa wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbas amesema, kuelekea mchezo wa watani sambamba na mchezo wa kimataifa …
Read More »Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Akagua Maendeleo Ya Ujenzi Wa Kivuko Cha Mafia, Kigamboni Jijini Dar Es Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirashaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia. Ujenzi wa Kivuko hicho chenye urefu wa mita 36 na upana mita 12 umefikia asilimia 95 na kinauwezo wa kubeba abiria 200 na …
Read More »