MICHEZO NA BURUDANI

Siku za Unai Emery zahesabika, Mourinho kutua Arsenal

Kocha wa klabu ya Arsenal, Unai Emery amepewa mwezi mmoja wa kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri, hii ni kufuatia matokeo ya sio ridhisha ambayo imekuwa ikiyapata huku taarifa za ndani zikidai kuwa Jose Mourinho ndiye anayetarajiwa kuja kurithi nafasi yake. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa, Unai Emry atatimuliwa kazi msimu …

Read More »

Aliyemuua mwanamuziki Radio, Kwenda jela miaka 14

Mahakama Kuu nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka 14 jela Bwana Godfrey Wamala maarufu Troy kwa kosa la kumuua mwanamuziki Moses Ssekibogo maarufu Mowzey Radio. Troy alipatikana na hatia hiyo siku ya Jumatatu ambapo mashtaka yake yalisomwa. Radio alifariki Februari 1, 2018 baada ya kupigana na Troy wakiwa baa mwaka …

Read More »