MICHEZO NA BURUDANI

Tetesi za soka kimataifa

Manchester United wako kwenye mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Ousmane Dembele, 23, kutoka Barcelona. (Daily Record) Vyanzo vingine kutoka United vimepuuza kuhusishwa huko na Dembele. (Mirror) Paris St-Germain wana uhakika kwamba kiungo wa Tottenham Hotspur na England Dele Alli, 24, anataka kujiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa msimu …

Read More »

Msanii Dudubaya Aitwa BASATA

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemtaka msanii wa Bongo Fleva Tumaini Godfrey maarufu Dudubaya kufika katika ofisi za baraza hilo kesho Januari 7, kwa mahojiano zaidi baada ya kusambaa kipande cha video kikimuonesha akitoa kauli zisizokuwa na maadili.

Read More »

Tigo yaungana rasmi na Zantel

Dar es Salaam. Novemba 4, 2019. Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na kampuni ya Zanzibar Telecom Public Limited Company (Zantel) baada ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria na kiumiliki ambapo lengo kuu ni kukuza na kuboresha huduma za mawasiliano nchini. …

Read More »