Msanii wa Muziki na Diwani wa Mwanga Kaskazini, Clayton Chipando ‘Baba Levo’ ameachiwa huru leo baada ya kumaliza hukumu yake ya miezi mitano huku Mahakama ikijiridhisha kuwa kifungo alichoongezewa kilikuwa batili. Kabla ya kuachiwa huru leo, Baba levo alihukumiwa kwenda jela Miezi mitano Agosti 01, 2019 na Mahakama ya Mwanzo …
Read More »LADHA 360
Msoto wa Mario hadi kufikia mafanikio
KATIKA toleo la Gazeti la Spoti Xtra Alhamisi iliyopita, Marioo alianza kuelezea historia ya maisha pamoja na kazi yake ya muziki ilivyoanza. Marioo ambaye jina lake kamili ni Omary Ally Mwanga ni miongoni mwa wasanii chipukizi ambaye kwa sasa analiteka soko la Muziki wa Bongo Fleva. Nikukumbushe tu kuwa, Marioo …
Read More »Taifa Stars kambini kuiwinda Rwanda
KIKOSI cha timu ya Taifa (Taifa Stars), kimeingia kambini jana tayari kuanza maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda (Amavubi), unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 12, mwaka huu jijini Kigali. Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Juma Mgunda, alisema jana kuwa kikosi hicho kitaanza mazoezi rasmi leo, baada ya wachezaji …
Read More »