Rais Dk. John Magufuli, amesema Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), siyo safi kama watu wanavyodhani bali kuna uchafu mwingi wakiwamo watumishi wasio waaminifu. “Ofisi ya CAG siyo clean (safi) kama mnavyofikiria, sasa nenda ukachambue ukapange position (nafasi) za watu wako ili mauchafu uchafu haya …
Read More »HALI HALISI
Watahiniwa 485,866 kuanza mitihani kidato cha nne leo
WATAHINIWA 485,866, leo wanaanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2019. Kati ya watainiwa hao, 433,052 ni wa shule na 52,814 wakujitegemea. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani(Necta), Dk. Charles Msonde alisema kuongezeka kwa watahiniwa kumetokana …
Read More »Tigo yaungana rasmi na Zantel
Dar es Salaam. Novemba 4, 2019. Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na kampuni ya Zanzibar Telecom Public Limited Company (Zantel) baada ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria na kiumiliki ambapo lengo kuu ni kukuza na kuboresha huduma za mawasiliano nchini. …
Read More »Aussems: Hakuna wa kuzuia ubingwa Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa ana uhakika mkubwa wa timu yake kuweza kutetea ubingwa wake msimu huu licha ya kupoteza mchezo uliopita kutokana na ubora wa kikosi chao. Simba bado inaongoza ligi ikiwa na pointi 18 kabla ya mchezo wa jana Jumapili dhidi ya Mbeya City …
Read More »Msoto wa Mario hadi kufikia mafanikio
KATIKA toleo la Gazeti la Spoti Xtra Alhamisi iliyopita, Marioo alianza kuelezea historia ya maisha pamoja na kazi yake ya muziki ilivyoanza. Marioo ambaye jina lake kamili ni Omary Ally Mwanga ni miongoni mwa wasanii chipukizi ambaye kwa sasa analiteka soko la Muziki wa Bongo Fleva. Nikukumbushe tu kuwa, Marioo …
Read More »