HABARI MPYA

Jafo: Kamati za Rufaa Tendeni Haki kwa Wagombea

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amezitaka Kamati ya Rufaa za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutenda haki wa wagombea wote watakaowasilisha malalamiko yao kuhusu uteuzi. Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akizungumza na Kamati ya Rufaa pamoja na viongozi wa …

Read More »

JK ataja mambo 9 Nyerere kukumbukwa

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ametaja mambo tisa ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, atakumbukwa na viongozi wanapaswa kuyaiga na kuyaishi. Kikwete alitaja jambo la kwanza la kumkumbuka Nyerere kuwa ni ukombozi wa nchi. Alisema Nyerere alisimama mstari wa mbele kuhakikisha ukombozi wa nchi unapatikana kutoka …

Read More »

TPA yaanika ‘upigaji’ wa magari mipakani

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), imeeleza jinsi ilivyonusuru gari aina ya Benz iliyokuwa ikimilikiwa na raia wa Congo kupigwa mnada baada ya kubainika dhuluma inayodaiwa kufanywa na watendaji wa bandari hiyo kwa kushirikiana na taasisi zingine za umma. Hali kama hiyo ilisababisha wateja wengi waliokuwa wanaitumia bandari hiyo …

Read More »