HABARI MPYA

Boeing yatangaza kuacha kuzalisha ndege za 737 Max

Kampuni ya Boeing itasimamisha kwa muda uzalishaji wa ndege zake zilizokumbwa na matatizo za 737 Max mwezi Januari. Utengenezaji wa ndege hizo ulikuwa ukiendelea licha ya ndege za chapa hiyo kuzuiwa kupaa kwa mezi tisa baada ya kuhusika katika ajali mbili zilizosababisha vifo vya mamia ya watu. Zaidi ya watu …

Read More »

Bodi ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) nchini Tanzania inakamilisha malipo ya wanafunzi waliobadilisha kozi waliyoyapokea kutoka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ambazo zitawafikia kuanzia kesho Jumatano Desemba 18, 2019. Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul- Razaq Badru iliyotolewa jana Jumatatu Desemba 16, 2019 ilizungumzia malalamiko yaliyotolewa …

Read More »

Biteko Apokea Ripoti Maalum Madini Ya Ujenzi, Viwandani

Waziri wa Madini Doto Biteko amepokea Ripoti Maalum kutoka kwa Kamati Tendaji ya Madini ya Ujenzi na Madini ya Viwandani kuhusu Changamoto zilizopo katika uchimbaji wa Madini na Masoko ya kuuzia madini hayo. Kikao hicho kilichoongozwa na Waziri Biteko kilifanyika Desemba 16, 2019 katika Ukumbi wa Wizara ya Madini Jijini …

Read More »

Watu 37 wamelazwa baada ya kula Chakula chenye Sumu msibani.

Watu 37 wamelazwa katika hospital ya rufani jijini Dodoma baada ya kusadikiwa wamekula chakula chenye sumu katika msiba uliotokea eneo la mtumba lililoko nje kidogo ya jiji hili. Akizungumza hospitalini hapo Meya wa jiji la Dodoma Profesa Davis Mwamfupe amesema anashukuru jitihada za madaktari wa hospital hiyo waliofanikiwa kuokoa maisha …

Read More »

Waandishi wa habari watakiwa kuzingatia weledi katika kazi zao.

Waandishi na watangazaji wa Redio za Kijamii nchini wameaswa kuzingatia miiko,maadili na sheria zinazoongoza¬† taaluma ya habari nchini ili kulinda heshima ya taaluma yao. Wito huo umetolewa na mjini Morogoro na Mratibu wa mafunzo wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Getrude John wakati …

Read More »