HABARI MPYA

Watu 20 Wafariki India Baada Ya Jengo la Ghorofa 3 Kuporomoka

Idadi ya watiu waliofariki dunia kutokana na kuporomoka kwa jengo la makazi la ghorofa tatu magharibi mwa India Jumatatu wiki hii imengezeka hadi 20 na miili zaidi inatarajiwa kupatikana chini ya vifusi vya jengo hilo, maafisa wamesema leo Jumanne. Shughuli za uokoaji zinaendelea ili kupata manusura katika magofu ya jengo …

Read More »

Serikali yakaribisha wawekezaji “Mazingira ni salama”

SERIKALI ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji katika kuongeza thamani ya mnyororo wa bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi na kusema mazingira ya uwekezaji ni rafiki. Akizungumza katika kuitangaza Tanzania na vivutio vyake katika Jukwaa la kilimo biashara lililoandaliwa na taasisi ya Jukwaa la Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRF), na kufanyika …

Read More »

Jumla ya majeneza 27 yaliozikwa zaidi ya miaka 2500 yamefukuliwa na wanakiolojia katika makaburi ya zamani nchini Misri. Majeneza hayo yalipatikana katika kisima kipya kilichogunduliwa katika eneo moja takatifu lililopo huko Saqqara , kusini mwa mji mkuu wa Cairo. Majeneza 13 yaligunduliwa mapema mwezi huu , lakini mengine 14 zaidi …

Read More »

Trump aahidi kumteuwa mwanamke kuchukua nafasi ya Jaji Ginsburg

Rais Donald Trump ameahidi kumteuwa mwanamke wiki ijayo kujaza nafasi iliyowachwa wazi kufuatia kifo cha Jaji Ruth Bader Ginsburg, na kulishinikiza baraza la Seneti linalodhibitiwa na Warepublican kuidhinisha jina hilo bila kuchelewa. Akizungumza katika mkutano wa kampeni jimboni North Carolina, Trump alisema atamteuwa mrithi wa Ginsburg licha ya kupingwa na …

Read More »