HABARI MPYA

Waziri Angela Kairuki Awataka TPC Kuzalisha Sukari Ya Viwandani

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia uwekezaji, Angela Kairuki,ameutaka uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha TPC, kilichopo Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuangalia uwezekano wa kuanza uzalishaji wa Sukari ya viwandani, ili kuondoa adha ya kuagiza sukari hiyo nje ya nchini. Kairuki alisema mpaka sasa hakuna mzalishaji wa …

Read More »

Ajali Mbaya ya Lori na Noah Yaua Watano Dodoma

Watu 5 wamefariki na 2 kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na lori eneo la kibaigwa jijini Dodoma . Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto amethibitisha. Amesema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva wa lori ambaye aliingia katikati ya barabara …

Read More »

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Mipango Miji nchini kuzisaidia wilaya kuhakikisha maeneo yote ya vijiji yanayochipukia kuwa miji anapelekewa ili ayatangaze kuwa maeneo ya Mipango Miji. Lukuvi alisema hayo jana wakati akizindua ofisi ya ardhi mkoa wa Kigoma ikiwa ni mfululizo wa uzinduzi …

Read More »

Waliowauzia Wafugaji Ng’ombe Wasio Na Sifa Wasakwa

Serikali imeagiza kutafutwa kwa watu waliohusika kuwauzia kwa njia ya mkopo wafugaji ng’ombe wa maziwa waliozaa tayari na kuwahadaa wafugaji kuwa ng’ombe hao hawana uzao wowote (mitamba) ili wawapatie wafugaji ng’ombe wenye sifa kama walivyokubaliana katika mikataba. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema hayo katika Wilaya …

Read More »

Prof. Palamagamba Kabudi ‘Autaka Ubunge’ Kilosa

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof. Palamagamba Kabudi amesema yupo tayari kuwatumikia wananchi wa jimbo la kilosa iwapo watamhitaji kwenda kufanya hivyo. Kabudi ameonyesha nia hiyo leo tarehe 29 Juni 2020 wilayani Kilosa, wakati akihutubia katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa mahandaki manne …

Read More »