BREAKING: Magufuli amtumbua Lugola

Leo January 23, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amemuondoa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola katika Wizara hiyo.

“Nasema tena Kangi Lugola nampenda sana, ni Mwanafunzi wangu pamoja na mwili wake na ukubwa wake ni Mwanafunzi wangu nimemfundisha Sengerema Secondary lakini kwa hili hapana, Kamishna Jenerali Andengenye kwa hili pia hapana, kwa utawala wangu hapana” – JPM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *