Bodi ya ligi kuu Tanzania, imeufungia uwanja wa Jamhuri, Morogoro

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa mabatini unaotumiwa kwa michezo ya nyumbani na klabu ya Ruvu Shooting kwa kukosa sifa za kimashindano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *