kahamafm

Watu watatu wafariki Uganda katika ghasia za uchaguzi

Polisi nchini Uganda imethibitisha vifo vya watu watatu kutokana na machafuko yaliyozuka alasiri ya Jumatano kufuatia habari za kukamatwa kwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine Machafuko hayo yalisambaa katika miji kadhaa na kusababisha watu wengi kujeruhiwa kutokana na risasi na mabomu ya kutoa machozi. Hii imewalazimu wagombea …

Read More »

Katibu Mkuu ANC anatafutwa kwa rushwa

Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Afrika Kusini(ANC), Ace Magashule ambaye ni mtu maarufu ndani ya chama hicho anakabiliwa na waranti wa kukamatwa kwa madai ya rushwa. Madai hayo ni katika kesi ya kandarasi ya umma ya tangu alipokuwa Gavana wa jimbo la Free State nchini humo. Hii ni moja …

Read More »

Kauli ya Majaliwa baada ya kuteuliwa tena kuwa waziri mkuu

Waziri Mkuu mteulu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kupendekezwa kwake kwa mara nyingine tena kuwa Waziri mkuu wa Tanzania na Rais John Pombe Magufuli si jambo dogo huku akimshukuru kwa kumpendekeza kwa mara nyingine tena. Akizungumza mara baada ya kupendekezwa na kuidhinishwa na wabunge wa bunge …

Read More »

Bunge Lamthibitisha Majaliwa Kwa 100% Kuwa Waziri Mkuu

Bunge la Tanzania limemuidhinisha mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya kupigiwa kura za ndiyo 350. Uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu umefanywa na Rais John Magufuli leo Alhamisi Novemba 12, 2020 na jina lake kuwasilishwa bungeni na mpambe wa Rais. Baada ya kuwasilishwa, Spika Job …

Read More »

Rais Magufuli amempendekeza Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Rais John Magufuli amemteua tena mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.   Jina la Majaliwa limesomwa leo Alhamisi Novemba 12, 2020 bungeni mjini Dodoma na Spika Job Ndugai ili liidhinishwe na chombo hicho cha Dola. Uteuzi huo unamfanya Majaliwa kuendelea na wadhifa aliokuwa nao kuanzia mwaka …

Read More »