Ahadi ya Tundu Lissu kwa wamachinga

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, amewaambia wakazi wa Mbalizi kuwa siku watakayo kiamini chama hicho ndio itakuwa siku ya mwisho kulipia vitambulisho vya wamachinga

Lissu amesema akiwa anazungumza na wakazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, juu ya changamoto za wafanyabiasahara wadogo kwa wakubwa ambapo amesema kuwa huo ni mkutano wake wa kwanza na wilayani humo.

“Siku mmechagua rais wa CHADEMA itakuwa ndiyo siku ya mwisho kulipa vitambulisho vya machinga “ Tundu Lissu

“Tunataka ukanda huu unaopakana na Malawi, Zambia, Congo, Rwanda, Burundi, Kenya uwe ukanda maalumu wa kiuchumi” Tundu Lissu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *