BREAKING NEWS: MO Ajiuzuru uwenyekiti wa Simba

Mo Dewji ameandika ujumbe kwenye Akaunti yake ya instagram kuwa amejihuzuru uwenyekiti wa bodi ya simba na sas atakuwa kama Mwekezaji.

Mo ameandika hivyo baada ya Club yake ya Simba fc kupokea kipigo cha 1 – 0 na timu ya Mtibwa katika fainali za kombe la mapinduzi zanzibar.

 

Ni huruma Simba haiwezi kushinda. Baada ya kulipa mishahara ya karibu Bilioni 4 kwa mwaka. Ninajiuzulu kama Mwenyekiti wa bodi na nitabaki kama Mwekezaji. Simba Nguvu moja. Nitazingatia kukuza miundombinu na taaluma ya vijana!” -: MO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *